Vigezo kupata tender ya usafi mgodini

Vigezo kupata tender ya usafi mgodini

Nasibunduki

Member
Joined
Dec 27, 2021
Posts
48
Reaction score
62
Habari wanajamvi naomba mnisaidie kujua vigezo gani vinaangaliwa ili kupata tenda ya usafi mgodini Mimi n mjasiriamali mdogo lengo langu ni kupata takataka za chuma km drill bit nk yan skrepa natakiwa niwe na vigezo gani?

Naomba msaada wenu wanajamvi
 
Nenda kawaambie unataka hizo skrepa na acha kujifanya unataka tenda ya usafi
 
Nenda kawaambie unataka hizo skrepa na acha kujifanya unataka tenda ya usafi
😂Jaman hapa si tupo kwa lengo la kusaidiana kimawazo na kujuzana kwa tusivyovifaham ili tufike tunakoelekea au nmekosea kuuliza
 
[emoji23]Jaman hapa si tupo kwa lengo la kusaidiana kimawazo na kujuzana kwa tusivyovifaham ili tufike tunakoelekea au nmekosea kuuliza
Ungekuja na hoja ya moja kwa moja kuwa unataka vigezo vya kupata nafasi ya usafi wa mgodini ingekuwa rahisi kwako swala la chuma na skrepa ungeongea na wadau ukiwa tayari ushapata nafasi hiyo ya usafi
 
Kaka hata skrepa ni takataka mgodini na huwa znatolewa km taka ila utaratibu wake ndio sifaham uko vp ndo maan nmeuliza,nafkiri shida kubwa ni uelewa hatujaelewana hapo tu ila km kuna mwenye ufahamu zaidi anieleweshe sio aje na akili za kupinga hatupo hapa kulumbana kama unakua unaona swala hulijui au helujaelewa uliza na kama haiwezekan unakaa tu kimya hatupo hapa ili kugundua we unajua kiswahili kiasi gani au unaakili kushinda wengine,ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom