Nasibunduki
Member
- Dec 27, 2021
- 48
- 62
Kupata taka vyumaKwa hiyo lengo lako ni kufanya usafi au ni kupata taka za vyuma?
Kwa hiyo lengo sio usafi?Kupata taka vyuma
Hata km nafas hii itapatikana Safi tu maana hiyo ya skrepa ntakutana na wadau humohumo nkishakua kwenye system so mbaya kakaKwa hiyo lengo sio usafi?
Wewe ni mpigaji tu,hakuna cha tenda wala nini.Hata km nafas hii itapatikana Safi tu maana hiyo ya skrepa ntakutana na wadau humohumo nkishakua kwenye system so mbaya kaka
Nenda kawaambie unataka hizo skrepa na acha kujifanya unataka tenda ya usafiHabari wanajamvi naomba mnisaidie kujua vigezo gani vinaangaliwa ili kupata tenda ya usafi mgodini Mimi n mjasiriamali mdogo lengo langu ni kupata takataka za chuma km drill bit nk yan skrepa natakiwa niwe na vigezo gani?
Naomba msaada wenu wanajamvi
Aaaah mpigaji kivp tena mi nmeuliza km nafas Ipo sawa km vigezo unavifaham sawa nisaidie ambacho unakiwezaWewe ni mpigaji tu,hakuna cha tenda wala nini.
😂Jaman hapa si tupo kwa lengo la kusaidiana kimawazo na kujuzana kwa tusivyovifaham ili tufike tunakoelekea au nmekosea kuulizaNenda kawaambie unataka hizo skrepa na acha kujifanya unataka tenda ya usafi
Ungekuja na hoja ya moja kwa moja kuwa unataka vigezo vya kupata nafasi ya usafi wa mgodini ingekuwa rahisi kwako swala la chuma na skrepa ungeongea na wadau ukiwa tayari ushapata nafasi hiyo ya usafi[emoji23]Jaman hapa si tupo kwa lengo la kusaidiana kimawazo na kujuzana kwa tusivyovifaham ili tufike tunakoelekea au nmekosea kuuliza
Kaka hata skrepa ni takataka mgodini na huwa znatolewa km taka ila utaratibu wake ndio sifaham uko vp ndo maan nmeuliza,nafkiri shida kubwa ni uelewa hatujaelewana hapo tu ila km kuna mwenye ufahamu zaidi anieleweshe sio aje na akili za kupinga hatupo hapa kulumbana kama unakua unaona swala hulijui au helujaelewa uliza na kama haiwezekan unakaa tu kimya hatupo hapa ili kugundua we unajua kiswahili kiasi gani au unaakili kushinda wengine,ni hayo tu.Ungekuja na hoja ya moja kwa moja kuwa unataka vigezo vya kupata nafasi ya usafi wa mgodini ingekuwa rahisi kwako swala la chuma na skrepa ungeongea na wadau ukiwa tayari ushapata nafasi hiyo ya usafi