Hivi hii tabia ya kila mtu naetafuta mke au mume kutaja na vigezo vingi ilianza wapi?
Kuna wengine wanasema wanataka mume au mke mcha Mungu ukiangalia mwenyewe hata Bible au Qur'an hasomi wala haijui vizuri
Kuswali kwenyewe kwa manati[emoji23][emoji16][emoji1787][emoji1787]