Chawa tayari ume copyTanzania tuitakayo: HATUTAKI CHAWA.
Tanzania tuitakayo: HATUTAKI CHAWA.Chawa tayari ume copy
Unabwakua mawazo ya mwenzako na kujifanya ni yako.Ubwakuzi ndo nini...🤷?
Asante mpwa, nimekaa nikitafakari hili neno.Unabwakua mawazo ya mwenzako na kujifanya ni yako.
Kiuandishi kama unatumia andiko la mwingine ni LAZIMA uoneshe kuwa umetumia andiko la mtu mwingine kwenye andiko lako. Bila ya kuonesha kama umetumia andiko la mtu mwingine kwenye andiko lako, utakuwa umefanya UBWAKUZI.
Asante mpwa, nimekaa nikitafakari hili neno.
Lugha ya kiswahili ni pana sana...
Mufti🥺Ni lugha mufti
soma zaidi kuhusu plagiarismUbwakuzi ndo nini...🤷?