O omoghaka JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 293 Reaction score 166 Sep 29, 2020 #1 Ndugu zangu, Nafikiria kufungua duka la Dawa.Naomba anayejua Vigezo na Vibali vinavyohitajika anifahamishe. Vilevile naomba kufahamishwa na Dawa za Msingi na zinazouzika haraka. Duka la Dawa ninalohitaji ni la Mtaji wa Milioni Kumi.
Ndugu zangu, Nafikiria kufungua duka la Dawa.Naomba anayejua Vigezo na Vibali vinavyohitajika anifahamishe. Vilevile naomba kufahamishwa na Dawa za Msingi na zinazouzika haraka. Duka la Dawa ninalohitaji ni la Mtaji wa Milioni Kumi.