king of king kama walivyosema wengi ulivyo uliza swali na hasa hasa unapoweka dini tayari unakuwa umeharibu , labda ka imetokea kitu amacho kitaendana na tukio la dini kwa wakati huo , basi utapata wachangiaji, wenye point kutokana na swali lako nk. sasa tukirudi kwenye swali lako ni kwamba hakuna criteria ya sifa za mkuu wa moa au wa wilaya zaidi yakujuana na wahusika ambao ndio wapiga gita kwa wakati huo nao ni raisi, waziri mkuu na washabiki wao wawe wakichama, kifamilia, kimahusiano kirafiki, kifiasaidi, kisera na vitu vinavyo enda na hivyo, tukisema dini tutakuwa hatu mtendei haki anaye teu mpaka pale itakapo tokea tukio ambalo unaweza kulihusisha na dini/nasaba na mengineyo.