I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Wameshika kwenye mpini, sisi tumeshika kwenye makali.Hawa dawa yao ni kukomaa na vya kwetu mpaka kieleweke. Ifike mahala na sisi tusizitambue chanjo zao af tuone watapata wapi natural resources
Wewe umeielewaje hiyo habari?😂😂😂😂😂😂😂ngoja team chanjo waje
Sio kweli, magu alikuwa anatupeleka hiyo hatua ya kwamba na wao kuja kwetu iwe ni dream kwao sio kutumyanyasa kama manyami huku tukiwa.busy kuwaabudu na kuwashangalia,Wameshika kwenye mpini, sisi tumeshika kwenye makali.
ExaactlySio kweli, magu alikuwa anatupeleka hiyo hatua ya kwamba na wao kuja kwetu iwe ni dream kwao sio kutumyanyasa kama manyami huku tukiwa.busy kuwaabudu na kuwashangalia,
Sent using Jamii Forums mobile app
95% ya watz wanaoabudu watasha hawatakuelewaSio kweli, magu alikuwa anatupeleka hiyo hatua ya kwamba na wao kuja kwetu iwe ni dream kwao sio kutumyanyasa kama manyami huku tukiwa.busy kuwaabudu na kuwashangalia,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwacheni mzee wa watu apumzike.Sio kweli, magu alikuwa anatupeleka hiyo hatua ya kwamba na wao kuja kwetu iwe ni dream kwao sio kutumyanyasa kama manyami huku tukiwa.busy kuwaabudu na kuwashangalia,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kuchimba tu visima vya maji viwasaidieni wenyewe ni tabu, jeuri ya kimukataa vyakao , jeuri ya kuwanyima rasilimali zisizoweza hats kutusaidia wenyewe tunapata wapi. Tunachoweza ni kufanya jeuri hiyo kinafiki na sii kwa matendo.Hawa dawa yao ni kukomaa na vya kwetu mpaka kieleweke. Ifike mahala na sisi tusizitambue chanjo zao af tuone watapata wapi natural resources
Kila kitu ni spirit to dare and do..hamna kisicho shindikana chini ya jua hili. This is what i meanHata kuchimba tu visima vya maji viwasaidieni wenyewe ni tabu, jeuri ya kimukataa vyakao , jeuri ya kuwanyima rasilimali zisizoweza hats kutusaidia wenyewe tunapata wapi. Tunachoweza ni kufanya jeuri hiyo kinafiki na sii kwa matendo.
We have the spirit of greedy and selfishness, we are good on that not otherwiseKila kitu ni spirit to dare and do..hamna kisicho shindikana chini ya jua hili. This is what i mean
Ndio mana nikasema tukiamua tunawezaWe have the spirit of greedy and selfishness, we are good on that not otherwise