Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Oct 14, 2021 #21 Moo Click said: Ndio mana nikasema tukiamua tunaweza Click to expand... Tutaamua lini, ukitaka kujua tupo usingizini angalia Kila awamu mambo yake na vituko vyake.
Moo Click said: Ndio mana nikasema tukiamua tunaweza Click to expand... Tutaamua lini, ukitaka kujua tupo usingizini angalia Kila awamu mambo yake na vituko vyake.
Moo Click JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,495 Reaction score 3,236 Oct 14, 2021 #22 Vessel said: Tutaamua lini, ukitaka kujua tupo usingizini angalia Kila awamu mambo yake na vituko vyake. Click to expand... Ata wadanganyika wenyewe ni hovyo kabisa. Ivi mtu unashadadia mikopo ya imf kwel?
Vessel said: Tutaamua lini, ukitaka kujua tupo usingizini angalia Kila awamu mambo yake na vituko vyake. Click to expand... Ata wadanganyika wenyewe ni hovyo kabisa. Ivi mtu unashadadia mikopo ya imf kwel?
Zuwenna JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 2,133 Reaction score 3,758 Oct 14, 2021 #23 kitaboy said: Sio kweli, magu alikuwa anatupeleka hiyo hatua ya kwamba na wao kuja kwetu iwe ni dream kwao sio kutumyanyasa kama manyami huku tukiwa.busy kuwaabudu na kuwashangalia, Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mwenyezimungu Ampumzishe kwa Amani Mwamba Wetu John Joseph Magufuli
kitaboy said: Sio kweli, magu alikuwa anatupeleka hiyo hatua ya kwamba na wao kuja kwetu iwe ni dream kwao sio kutumyanyasa kama manyami huku tukiwa.busy kuwaabudu na kuwashangalia, Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mwenyezimungu Ampumzishe kwa Amani Mwamba Wetu John Joseph Magufuli