Vigezo vya kuangalia unapochagua rafiki wa kweli

erca

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2019
Posts
311
Reaction score
336
Mara nyingi tunashindwa kutifautisha marafiki wa kweli na wasio wa kweli ndo mana MTU analalamika ametendwa na rafiki wa karibu. Ili umjue rafiki wa kweli unatakiwa uangalie vigezo vifuatavyo: Malengo:mnatakiwa mwe na malengo/mwelekeo unaofanana. 2.Angalia rafiki anayekustrenght unaweza ukawa na rafiki alafu hakusaidii kwa chochote
3.Anaefurahia mafanikio yako kuna marafiki ata ukifanya vzr hawez kukusifia ata cku moja na ukikosea hawez akakukosoa atakusifia uendelee kupotea
4 Anaekuhamasisha kufanya zaidi au kukusupport kwenye kila hali

Ni mtazamo tu
 
Friendship n Relationship is Exhausting learn and try to be on your Own!! I came in this Earth Alone, Will live alone and I'll back Alone..
I Don't fit Anywhere..I'm on my Own.
 
Anaekufaa kwenye nyakati ngumu hasa dhiki ndiye rafiki wa kweli
 
Halafu siku mkigombana mnachomoleana betri humu.


Mimi rafiki zangu watu wote hata kama teja
 
Dah...Ni vizuri ukawa na marafiki wachache inavyowezekana...kuwa na marafiki wengi wasiokuwa na maslahi kwako ni upotezaji wa muda...usiwe na marafiki wa permanent...mchongo ukiisha mnaachana ....marafiki wengi waachieni wanasiasa...wanaishi kwa kupiga domo... ukweli mchungu [emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…