young toure
Member
- May 18, 2015
- 15
- 0
Habari zenu wana JF. Nilikua nahitaji kujua ni vigezo gani vitamuwezesha mtu kuendelea na kidato cha 5. Hivyo pls naomben msaada wenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugu,si kufaulu O-level!!..au kuna kitu kimebadilika toka nimalize shule
Habari zenu wana JF. Nilikua nahitaji kujua ni vigezo gani vitamuwezesha mtu kuendelea na kidato cha 5. Hivyo pls naomben msaada wenu.
Ukiwa na C 3 aijalish zmebalanc comb au la prvate unaxoma bt kwa gvmnt hops ad zbalanc & lazma ue na credt>
GPA 5.0 - 2.0 huyoo
na ktka kupanga comb wanachek vgezo gan?
wanacheck kwa ile selform yako comb ulizochgagua ukiwa na Gpa ya 5.0-2.0 lazm kat ya zile tano ulizochagua tatu zitakuwa zimebalance!
kw hyo katka maxomo ya comb ukiwa na C,C,B hpo itkua imebalance au?
yap unasepa advance!
pw pw 10x boy
Vp Kama Uba BCD ya chem,bios na geog unachukuliwa?