Kiputio Og
Member
- Jan 10, 2018
- 6
- 7
Ordinary diploma in what? Kuandika na kutoa report tu huwezi degree ya nini?Habari wana JF.
Nauliza hivi kwa mtu ambae amehitimu chuo ngazi ya kati "ordinary diploma NTA 6"
na kufaulu kwa GPA 4.5. ila katika cheti cha form four ana ufaulu wa D3. Pia ni muajiriwa wa serikali.
SWALI? JE ATAWEZA KUJIUNGA NA ELIMU YA JUU BACHELOR DEGREE AU HADI ASAFISHE CHETI CHA KIDATO CHA NNE.?
Lakini ni lazima uwe na minimum of four D or above in form four exams.Inategemea na program na chuo unachotaka, kuna program au vyuo vngne vitataka either C ktk somo flani la form four au C tatu za form four kwa UDSM
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na malazi/makazi/accomodation (Sio maradhi wapendwa😊).Habari wana JF,
Nauliza hivi kwa mtu ambae amehitimu chuo ngazi ya kati "ordinary diploma NTA 6"
na kufaulu kwa GPA 4.5. ila katika cheti cha form four ana ufaulu wa D3. Pia ni muajiriwa wa serikali.
SWALI:
JE, ATAWEZA KUJIUNGA NA ELIMU YA JUU BACHELOR DEGREE AU HADI ASAFISHE CHETI CHA KIDATO CHA NNE?
Na mimi nimeshangaa sana.We huwez kusoma degree hatabiyo diploma inaweza kuwa n ya kilimo mana mana ndo huwa wanachukuaga tu ilimradi hata iyo diploma hukuruhusiwa kusoma