wa mchongo
New Member
- Jun 14, 2024
- 3
- 1
Kama tittle inavyoeleza mimi sijasoma hata basic driving ila naomba msaada kama nijuzwe toka kwa wanaojua kama kuna uwezekano wa kusoma na kupata madaraja ya c1, c2 au c3 bila kupitia hiyo basic driving? Hii ni kwa manufaa yangu binafsi pia kwa wenzangu wasiojua kama mm.
NAOMBA KUWASILISHA🙏
NAOMBA KUWASILISHA🙏