wa mchongo
New Member
- Jun 14, 2024
- 3
- 1
Hela ipo mkuu?Kama tittle inavyoeleza mimi sijasoma hata basic driving ila naomba msaada kama nijuzwe toka kwa wanaojua kama kuna uwezekano wa kusoma na kupata madaraja ya c1, c2 au c3 bila kupitia hiyo basic driving? Hii ni kwa manufaa yangu binafsi pia kwa wenzangu wasiojua kama mm, NAOMBA KUWASILISHA🙏
Hela ipo mkuu?
Ndo nlitakĂ kujua vigezo ili nijipange mkuu, ila naskia shortcut siku hiz ni ngum mno kupata!Hela ipo mkuu?
Msaada please! 🙏🙏Kama tittle inavyoeleza mimi sijasoma hata basic driving ila naomba msaada kama nijuzwe toka kwa wanaojua kama kuna uwezekano wa kusoma na kupata madaraja ya c1, c2 au c3 bila kupitia hiyo basic driving? Hii ni kwa manufaa yangu binafsi pia kwa wenzangu wasiojua kama mm, NAOMBA KUWASILISHA🙏
Huwezi kupata bila kusoma Basic Driving Course iliyothibitishwa na jeshi la polisi kitengo cha usalama barabaraniKama tittle inavyoeleza mimi sijasoma hata basic driving ila naomba msaada kama nijuzwe toka kwa wanaojua kama kuna uwezekano wa kusoma na kupata madaraja ya c1, c2 au c3 bila kupitia hiyo basic driving? Hii ni kwa manufaa yangu binafsi pia kwa wenzangu wasiojua kama mm.
NAOMBA KUWASILISHA[emoji120]
Kigezo cha kwanza Uwe na Pesa..Kama tittle inavyoeleza mimi sijasoma hata basic driving ila naomba msaada kama nijuzwe toka kwa wanaojua kama kuna uwezekano wa kusoma na kupata madaraja ya c1, c2 au c3 bila kupitia hiyo basic driving? Hii ni kwa manufaa yangu binafsi pia kwa wenzangu wasiojua kama mm.
NAOMBA KUWASILISHA🙏