Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,538
Ndugu wana JF
Ninaombeni kujulishwa au kufahamisha ni nini kinachosababisha shilingi yetu kuendelea kuwa na thamani ndogo ukilinganisha na dola ya kimarekani maana napata shida sana nchi maskini mwenzetu japo huenda tumeizidi kidogo kama Malawi kuwa na thamani kubwa ya hela yao kuliko sisi, maana kwa siku ya leo 1USD = 1628TZS = 448MKW.
Nini wanachofanya wenzetu mpaka uwiano wa hela yao na dola ukawa mdogo hivo? kwa habari ambazo sina uhakika nazo wenzetu wakati mwingine huwa wanaipandisha hela yao kwa lazima. Naomba wataalamu wa upande huu watusaidie.
Shilingi yetu imekuwa ikishuka kila kukicha na tuna wachumi wa madaraja ya juu kabisa waliopo hapa nchini
Nawasilisha