Elections 2010 Vigezo vya kuteuwa wabunge wawakilishi wa viti maalum(vijana)

Elections 2010 Vigezo vya kuteuwa wabunge wawakilishi wa viti maalum(vijana)

Joined
Sep 4, 2009
Posts
23
Reaction score
0
jamani nsaidieni hivi ni vigezo gani vilitumika katika kuwateuwa wabunge wa viti maalum???????? je ni uzuri ama utendaji kazi na uwajibikaji wao????? coz kinachozungumzwa sana na vyombo vya habari ni sifa zao za uzuri na sio ni jinsi gani walionyesha kulitumikia taifa mpaka kufikia kupendekezwa huko kuwa wabunge .. masaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom