Vigezo vya kuwa navyo ili uruhusiwe kumiliki duka la madawa .

Vigezo vya kuwa navyo ili uruhusiwe kumiliki duka la madawa .

Noel EK

New Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
2
Reaction score
1
Habara wana jamvi,Naomba kujua vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki duka la madawa.Pia naomba kujua dawa kwa bei ya jumla jumla zinanunuliwa wapi?
 
karikoo Sunderaland kama unaenda mtaa wa mchikichi kuna duka la madawa ya Binadamu wanauza jumla
 
1)Kwanza lazima uwe na cheti Cha mtaalamu wa madawa mfamasi

2)Uwe na sehemu iliyokaguliwa(unaenda ofisi za afya za mtaa wa fomu unajaza unapeleka Kwa mfamasia wa halmashauri husika ili uweze kupata kibali Sasa

3)kibali Cha biashara tra

Hapo you're good to go
 
Back
Top Bottom