Noel EK New Member Joined Feb 16, 2024 Posts 2 Reaction score 1 Mar 11, 2024 #1 Habara wana jamvi,Naomba kujua vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki duka la madawa.Pia naomba kujua dawa kwa bei ya jumla jumla zinanunuliwa wapi?
Habara wana jamvi,Naomba kujua vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki duka la madawa.Pia naomba kujua dawa kwa bei ya jumla jumla zinanunuliwa wapi?
United ya Ferguson JF-Expert Member Joined Oct 29, 2021 Posts 3,132 Reaction score 6,353 Mar 12, 2024 #2 karikoo Sunderaland kama unaenda mtaa wa mchikichi kuna duka la madawa ya Binadamu wanauza jumla
Rion Jr JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 623 Reaction score 691 Mar 13, 2024 #3 Kariakoo kuna maduka kibao ya jumla
Eink67 Member Joined Mar 30, 2014 Posts 19 Reaction score 49 Mar 14, 2024 #4 1)Kwanza lazima uwe na cheti Cha mtaalamu wa madawa mfamasi 2)Uwe na sehemu iliyokaguliwa(unaenda ofisi za afya za mtaa wa fomu unajaza unapeleka Kwa mfamasia wa halmashauri husika ili uweze kupata kibali Sasa 3)kibali Cha biashara tra Hapo you're good to go
1)Kwanza lazima uwe na cheti Cha mtaalamu wa madawa mfamasi 2)Uwe na sehemu iliyokaguliwa(unaenda ofisi za afya za mtaa wa fomu unajaza unapeleka Kwa mfamasia wa halmashauri husika ili uweze kupata kibali Sasa 3)kibali Cha biashara tra Hapo you're good to go
Eink67 Member Joined Mar 30, 2014 Posts 19 Reaction score 49 Mar 14, 2024 #5 Maduka ya jumla ya dawa yapo kkoo mfano afq,