Vigezo vya special school vya punguzwa

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
kwa taarifa ni kwamba shule hizi zitachukua wanafunzi kwa vigezo vifuatavyo PCB <BBB> BADALA YA <BBA> ,PCM <ABB> ,HGL <BCB > BADALA YA <BBB>
 
kwa taarifa ni kwamba
shule hizi zitachukua wanafunzi kwa vigezo vifuatavyo PCB <BBB>
BADALA YA <BBA> ,PCM <ABB> ,HGL <BCB > BADALA YA
<BBB>

mmmh! correction, special xul za boys zlikua znachukua AAA kwa combi zote za science lakini arts hata ukiwa na B wakachukua!
 
Mkuu tupe source, Pia vipi ikiwa wanafunzi hawatatosha ktk shule a prvt na govt je serkal itachukua hatua gan?
 
mmmh! correction, special xul za boys zlikua znachukua AAA kwa combi zote za science lakini arts hata ukiwa na B wakachukua!
wewe DOGOO ACHA KUBISHANA UJINGA NIMESOMA MZUMBE PCB WALIISHIA BBA, PCM AAB,HGL BBB SASA WAMEBADILI NIMEMALIZA MWAKA 2012 FORMSIX
 
huu ni ubaguzi tu. serikali inabidi ifike mahali ifanye analysis ya kina ili tufahamu kama hao wanafaunzi wanaoenda hizo shule (special) wanafanyeje vyuo vikuu. Maana kuna wanafunzi wengine wameingia vyuo vikuu kupitia programmes kama pre-entry na wamefanya vizuri kuliko hata hao waliopitia special school. mi nadhani hawa vijana wangechanganywa na wafunzi wengine ili waweze kutoa changamoto kwa wanafunzi wenzao na hatimae hata wale ambao wana uwezo wa kawaida waweze kuinuka kimasomo.
 
kwa taarifa ni kwamba shule hizi zitachukua wanafunzi kwa vigezo vifuatavyo PCB <BBB> BADALA YA <BBA> ,PCM <ABB> ,HGL <BCB > BADALA YA <BBB>

Hata hapa bado watapata wanafunzi wachache sana kama ni kushauri ningesema PCB, PCM,na Science kwa jumla wachukue hadi CCB, Fikiri miaka ya nyuma one zilifika hadi elfu 5, two hadi elfu 12....leo one na two hazifiki elfu 8.
 
Haiwezekani kuwachanganya wanafunzi wakali na wakawaida kwa sababu hizi shule za vipaji zina iokoa sana serikali kwenye matokeo hususan ya formsix
 
me nashanga sijapita special school mambo c mabaya kwan jitiada ndo zinamata,ila waliopita wanapiga sup,wamedisco,gpa ndogo.elimu kokomaa 2 asa elimu ya chuo aina adabu kabisaaaaaaa
 
kwa taarifa ni kwamba shule hizi zitachukua wanafunzi kwa vigezo vifuatavyo PCB <BBB> BADALA YA <BBA> ,PCM <ABB> ,HGL <BCB > BADALA YA <BBB>

Nilienda Ilboru na AAA za Arts na nikakimbiza vilevile Mzumbe.....nafikiri sasa serikali inatakiwa kuwachanganya hawa vijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…