Vigezo vya TRA kufanya makadirio ya juu zaidi ya gharama halisi za magari yanayoingizwa nchini

Umeme wa 30k kwa 500km,mbona kama ni cheap sana ku operate hii gari mzee...Sema bei imesimama sana.
Hivi Mo Dewji si anamiliki Tesla mkuu?
 
Umeme wa 30k kwa 500km,mbona kama ni cheap sana ku operate hii gari mzee...Sema bei imesimama sana.
Hivi Mo Dewji si anamiliki Tesla mkuu?
Yeah kuoperate hii gari ni cheap sana. Bei imesimama yes hii ni brand new from Japan bado hujailipia kodi hapa. $88k USD kama 200M hivi

Mo alisema ananunua sijajua kama anayo actually
 

Attachments

  • Screenshot_20191203-133523_Chrome.jpg
    110.3 KB · Views: 3
TRA kwa kodi hizi ni kama tunawanunulia nawao magari tu sasa,mtu unanunua gari kodi yake ni zaidi ya thamani ya gari,maana yake nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukitaka uchoke kabisa kuna gari inatwa Lexus IS250 hio ni muendelezo wa Altezza yani gari ya kuanzia 2006 na kuendelea ushuru wake ni mkubwa balaa unaweza hata ukazimia
Kuna kitu inaitwa jeep compass la 2005-2009 , Japan CIF ni $ 4500 hadi $ 5000....sitaki kuongea mengi nendeni wenyewe mjionee kwenye kikokoteo chao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bil Bila TRA wengi tungemiliki mikoko.Na wale ambao tayari wanayo wangemiliki ya maana zaidi
 
Nd
Ikisikia wizi ndio huu, gari inauzwa 21m ,ushuru ni mara tatu ya garama ya kununua
Ndiyo maana hakuna mpango wa kujenga kiwanda hata Cha kuassembly magari tu maana biashara ya kukusanya Kodi inalipa kuliko kuwa na kiwanda
 
Kabla ya huu uzi niliwai kuandika kuhusu hii Subaru Exiga. Habari njema ni kuwa TRA wameshusha kodi ya Exiga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…