Vigezo vya urembo

Abeid nassib

Member
Joined
Nov 16, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Kwakweli aliyeweka kigezo cha urembo au kuwa handsame ni urefu aliwakosea watu wengi sana duniani isingelikuwa kigezo hiki ni matumaini mtu kama Lulu Michael angekuwa miss TZ leo.
 
Kila kitu kina vigezo vyako... kuna mrembo wa kijamii kama Lulu na kuna wa jukwaani kama Hoyce Temu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…