Vigezo vya uzuri na urembo

Vigezo vya uzuri na urembo

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,313
Reaction score
1,852
Hi
Wadau naomba kuuliza vigezo vya uzuri au urembo ni vipi na watu wametumia misingi ,taswira na mtazamo upi kuweza kuoanisha uzuri wa mtu.

Facts with no leakage ndo hoja reasonable
reality
 
Wahenga walitumia akili sana walipo conclude kuwa 'uzuri ni tabia'.

La sivyo, gonga like upite....:wacko:
 
Mkuu REALITY kwanza habari za masiku, sikuoni tangia siku ile kwenye Thread ya lala1.

Back to topic
Unapoongelea uzuri au urembo,bigwig vipo kwa anayeona, sababu siye tunatofautiana vigezo vya muonekano na kukubali kwamba fulani ni mzuri. Ndo maana waswahili wakasema UNACHOOONA WEWE CHA NINI WENGINE WANAKILILIA HAWAKIPATI.
Sizioni sababu za kiujumla na ukizingatia baada ya haya mabadiliko ya Dunia kumekuwa na UFAKE mwingi hadi kuvuruga ile REALITY.
 
Last edited by a moderator:

sio kwamba ni uamuzi tu wa kuweka vigezo mtu ajisikiavyo kwa ufahamu wake
 
Last edited by a moderator:
KwAni wewe yule unayempenda na uko tayari kufanya chochote kwake ulijuaje kawa ule ndo uzuri???

nayampenda ni mrembo ila anatabia nzuri ila hana uzuri maana uzuri si muonekano ni matendo
 
Hi
Wadau naomba kuuliza vigezo vya uzuri au urembo ni vipi na watu wametumia misingi ,taswira na mtazamo upi kuweza kuoanisha uzuri wa mtu.

Facts with no leakage ndo hoja reasonable
reality

Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtazamaji, waweza kumuona mtu fulani mzuri na mwingine akamuona wa kawaida sana. It's matter of perception.
 
Vigezo vya uzur na urembo ni kama ifuatavyo;
1. Awe na wowowo la kutosha,
2. Mguu wa bia,
3. Sura nzur nzur.. nyeupe au nyeus iliyo lainika (eeeeh bhana eeeeh)
4. Awe umbo namba nane... (sio moja)
V. Ajue kuvaa mahelen, mabangili, machen, mazagazaga yote ya urembo..
6.
 
Back
Top Bottom