Vigimbi husababishwa na nini?

Naca

Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
13
Reaction score
2
Habari, napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa?

Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya katamikono.

Je kuna dawa naweza kutumia.

Asante.
 
Habari, napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa?

Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya kata mikono.

Je kuna dawa naweza kutumia.

Asante.
 
Habari,napenda kufahamiashwa vigimbi chanzo chake ni nini? Ni jinsi gani mtu anaweza kufanya kuviondoa? Msaada tafadhali maana vinaninyima raha nashindwa kuvaa nguo ya katamikono. Je kuna dawa naweza kutumia. Asante..

Sometimes people don’t realize what they are made of until someone shows them how amazing they really are.
 
Punguza mazoezi makali, vyako ni kama vya Serena???
 
Ha ha haaa,ndio ila mi sifanyagi mazoezi kabisa nashangaa nna vigimbi.

Basi jikubali tu, mana hamna ujanja! Uwe unajiremba sana na kuvaa nguo zinazokufanya utoke sexy ili watu wasikumbuke kuangalia vigimbi
 
Jamani hv kweli kabisa hakuna means ya kuvitoa? Au hata basi kuvipunguza?? Am feeling weak inside me.
 
mkuu vigimbi husababishwa na UJEBA na inaonekana wewe ni kijeba ndio maana umeota vigimbi. hivyo havina dawa zaidi ya kuvikubali tu mkuu wangu.
 
mkuu vigimbi husababishwa na UJEBA na inaonekana wewe ni kijeba ndio maana umeota vigimbi. hivyo havina dawa zaidi ya kuvikubali tu mkuu wangu.

Mkuu wengine sio vijeba na wana vigimbi vya hataree
Mfano Serena William ni mrefu ila mhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…