CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
Duru za ndani ya chama kikuu Cha upinzani zinadokeza kuwa hadi sasa vigogo kumi na Saba wa chama Tawala wameonyesha nia ya kuachana na chama hicho na kujiunga upinzani.
Inaelezwa kuwa kwa vipindi tofauti Kati ya Mwezi April,2018 Hadi Oct, 2018 wanachama mbalimbali wa chama Cha mapinduzi walifanya mazungumzo ya Siri ikiwa ni pamoja na kuomba kupokelewa pale muda utakapo wadia.
Katika kipindi hicho pia imebainika kuwepo kwa mkakati wa kumshawishi mmoja Kati ya viongozi wa zaman wa CCM kurejea ccm japo washawishi hao bado hawajafanikiwa kutimiza lengo lao. Haya yanajiri muda mfupi baada ya baadhi ya wabunge wa upinzania kujiunga na CCM na kurejeshewa Ubunge wao.