Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 6,696 Reaction score 6,734 Aug 17, 2009 #21 Kidatu said: Kifo cha Nyani miti yote huteleza. Click to expand... Na mficha maradhi, kifo ndo kitakachomfichua. Waendelee tuu kulinda maradhi yanayowakabili.Ipo siku kifo kitawafichua
Kidatu said: Kifo cha Nyani miti yote huteleza. Click to expand... Na mficha maradhi, kifo ndo kitakachomfichua. Waendelee tuu kulinda maradhi yanayowakabili.Ipo siku kifo kitawafichua
Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,962 Reaction score 721 Aug 18, 2009 #22 Hakuna utete wowote kama wajumbe wa kamati baadhi yao ni FISADIZ. Wanaeleweka, sihitaji kutaja majina kwa sababu wanafahamika. Na kama uwafahamu basi uliza na utajibiwa.
Hakuna utete wowote kama wajumbe wa kamati baadhi yao ni FISADIZ. Wanaeleweka, sihitaji kutaja majina kwa sababu wanafahamika. Na kama uwafahamu basi uliza na utajibiwa.