Vigogo Hawa; Kiwete, Nape, January na Rithiwani Siwaamini kabisa.

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Nikiwa muumini wa Magufulification of Africa, watajwa hapo juu siwaamini kabisa, yaani nahisi kuwa hawapaswi kupewa wadhifa wowote kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa.

Kuna jambo nahisi limesababishwa na hawa Vigogo na naona linatuumiza mara 2014.
 
Cant make a head or tail of what you are saying !
 
Mkuu Ndio màana tumebadili mawazo na KUIMBA wimbo huu;-

"Samiah jiuzulu Sasa nchi imeshakushinda, ulambaji asali umekuponza"!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA!
 
Langu ni moja tu la heshima sana; rekebisha jina la Rais, mkuu wa nchi na Amiri Jedhi Mkuu mstaafu, Mzee Kikwete. Nafasi ya juu ya uongozi ni ya Urais na mzee wetu alishaivuka. #Muache apumzike.🙏🙏🙏
 
Nikiwa muumini wa Magufulification of Africa, watajwa hapo juu siwaamini kabisa, yaani nahisi kuwa hawapaswi kupewa wadhifa wowote kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa.

Kuna jambo nahisi limesababishwa na hawa Vigogo na naona linatuumiza mara 2014.
Kwani usipowaamini wewe ndio inafanya maisha yao na wale wanaowaamini yasiende?
 
Back
Top Bottom