Vigogo hawa washirika wa Hezbollah hawajulikani walipo

Yalisemwa kuwa wametoroshewa sehemu salama zenye ulinzi mkali
 
Uongozi mzima wa Magaidi ya Hezbollah umeuwawa.
Sasa hivi anayechochea hii Vita ni Ayatolah kwasababu kama Hezbollah wangekuwa peke yao wangasha surrender
Marhabaa!Na InshaAllah tutayashinda mazayuni. Jamaa mjinga sana.Hivi,kile kilemba huwa anajifunga na kufunika masikio ubongo usianguke?Ni swali hilo huwa ananiuliza mtoto wangu anayesoma darasa la pili Chemchem shule ya msingi.
 
Duh kwamba wametwaliwa mpaka waliko mabikra 72?
 
Hawa watakuwa wamekuwa Vaporised na zile Bunker Busters za juzi usiku.

Walikuwa wanabipu Israeli ikawapigia.
Wakiristo wa jf kwa propaganda. Ndio hizo hizo propaganda zilizofanywa mpaka Wakiristo wa chini wanaamini Yesu alisulubiwa
 
Uongozi mzima wa Magaidi ya Hezbollah umeuwawa.
Sasa hivi anayechochea hii Vita ni Ayatolah kwasababu kama Hezbollah wangekuwa peke yao wangasha surrender
Unawajua Hezbollah wewe? Kama hamas na kuzingirwa kote hawaja surrender ije kua hizbo? Huu moto zayuni anao kama Beirut hapakaliki North Israeli hapatakalika
 
Unawajua Hezbollah wewe? Kama hamas na kuzingirwa kote hawaja surrender ije kua hizbo? Huu moto zayuni anao kama Beirut hapakaliki North Israeli hapatakalika
IDF wanaenda hadi Litani River hata mjiunge wote hamuwaezi kuwazuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…