mwanachuo
Member
- Jan 15, 2013
- 40
- 38
Joto la siasa limezidi kupanda Mkoani Kilimanjaro hususani Jimbo la Moshi Mjini ambapo inasemekana baadhi ya Viongozi wa CCM Mkoani hapo wameanza harakati za kuusaka Ubunge kupitia makundi mbalimbali ya kijamii na ya Mitandaoni.
Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema, Viongozi hao wameunda vikundi mbalimbali ambavyo vina ratibiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Mkoa huo, pamoja na makundi ya Whatsapp ambayo chanzo chetu kilitaja group la Whatsapp la Moshi ya Moto na Moshi yetu ambayo yanahusishwa na Viongozi hao wa kuu wa Chama wa Mkoa huo.
Chanzo hicho limezidi kueleza kuwa mmoja wa Viongozi hao amelazimika Leo kusafiri kutoka Zanzibar na kufanya kikao katika moja ya bustani maarufu mjini Moshi inayomilikiwa na kigogo mmoja wa chama hicho mkoani hapo.
Aidha chanzo hicho kimedai kuwa Viongozi hao watashiriki Kuzindua moja ya group la Whatsapp tajwa hapo juu na awali walikuwa wamemwalika mkuu wa Mkoa huo kufungua ambaye alikataa kutokana na maudhui ya group hilo kuonekana linatishia usalama wa Mkoa huu.
Katika uzinduzi huo inasemekana kigogo huyo mtaka Ubunge ndio anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi akishirikiana na VIGOGO wenzake ambaye mmoja ametoa t-shirts na kugharamia chakula ambacho ili kupumbaza watu wamearika watoto wenye mahitaji maalumu ili kudanganya umma.
Hali hii imemfanya Mbunge wa Moshi Mjini kuamua kuchukua tafadhali baada ya kuona hata baadhi ya madiwani hasa wa kata ya miembeni mjini Moshi kuendelea kumsemea kigogo huyo juu ya nia yake ya kugombea pamoja na Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Moshi Mjini ambaye amehusishwa na kumgeuka Mbunge.
Fukuto hili linaenda sambamba na kuchafua baadhi ya makada ambao wanaonesha nia ya kugombea.
Imeshuhudiwa mara kadhaa Juma Raibu, Zuberi kidumo, David MOSHA na wengine kushbuliwa mara kadhaa kwa lengo la kuchafua watu hao. Chanzo kinasema VIGOGO hao wameagiza kutukanwa watu wote ambao Wanaonesha nia za kutaka kugombea.
Swali ni je, haya yanayofanywa Yana afya kwa chama chao....au ni tamaa za VIGOGO hao?
Je, VIGOGO hao ni akina nani?
Jibu.. utawaona siku ya uzinduzi wa moja ya magroup tajwa hapo juu.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Siasa za kuchafuana zashika kazi CCM Moshi mjini