wewe tatizo lako nini kwani ?
wewe tatizo lako nini kwani ?
wewe tatizo lako nini kwani ?
Jamani kuna usiri mkubwa sasa hivi wa kugawana viwanja katika eneo hili la Jeshi kalibu na nyumba za mawaziri Masaki na Sea cliff. Kwa habari nilizopata ni kuwa Mwinyi kesha pata eneo lake na viongozi wengine wakubwa wakubwa wameshagawana.
Mpaka sasa hivi sijasikia kuwa serikali imewapa eneo hilo rasmi hawa vigogo, au wamepewa kwa vigezo vipi.Au hii mbinu kama aliyoifanya na Magufuli naMkapa kugawa maeneo potential kama hayo bila zabuni au sababu zozote za kuhalalisha kugawiwa maeneo muhimu kama hayo
Waache wapeane zawadi ndiyo matunda ya kuwahi nchi hayo. Sisi tupige kelele wao wanasema tuwape muda, na 2010 tutaendelea kuwapa muda.
http://www.youtube.com/watch?v=aiuEmI2i2rw
ha ha ha ha kweli common sense is not common
Unajuwa Mkuu :hii nchi ni mpata mpatae haina mwenywe ukibahatika mahali pakuchota fanya hivyo , mifano mizuri angalia viongozi wetu wengi,sasa hii ya kusema fulani wamegawana viwanja ni kujidanganya kwani wanaowachaguwa ni akina nani ?
tafadhali jamani, mtatuua mkifanya hivyo, wengine hatuna hatia, tumejikuta tu tupo huko, msilete makomboraInabidi makombora ya mbagala yaelekezwe masaki na oysterbay
Unajuwa Mkuu :hii nchi ni mpata mpatae haina mwenywe ukibahatika mahali pakuchota fanya hivyo , mifano mizuri angalia viongozi wetu wengi,sasa hii ya kusema fulani wamegawana viwanja ni kujidanganya kwani wanaowachaguwa ni akina nani ?
Unajuwa Mkuu :hii nchi ni mpata mpatae haina mwenywe ukibahatika mahali pakuchota fanya hivyo , mifano mizuri angalia viongozi wetu wengi,sasa hii ya kusema fulani wamegawana viwanja ni kujidanganya kwani wanaowachaguwa ni akina nani ?
Mkuu nilikuwa najiumiza kichwa kupima IQ level yako mpaka niliposoma hii. Sasa nimekuelewa. Afadhali mimi sijakurupuka kukushambulia kama wadau wengine walivyofanya. Kura ndio zinatufikisha hapa, si ndio maana yako?
Join Date: Thu Feb 2009
Posts: 366
Thanks: 23
Thanked 63 Times in 49 Posts
Rep Power: 21
Sio tatizo lake ni utoto ndio unaomsumbua. Na ugeni hapa ndio tatizo, kaka vumilia utakuwa mwenyeji soon ili uanze kuchangia kwa umakini zaidi.
Kuna wenyeji ambao wanaboa kwelikweli.unamaanisha hizo post 366 za mkuu ni za kitoto au?
kama huyu ni mtoto basi hapa jf kuna watoto wengi mnoooo akiwamo mtoa hoja[mjinga]na ugeni utatusumbua sana,anyway hivi ni post ngapi zinakufanya uwe mwenyeji na mzoefu?