Vigogo wanatumia hela kupindisha sheria

Vigogo wanatumia hela kupindisha sheria

benon

Member
Joined
Sep 30, 2012
Posts
31
Reaction score
14
Jamani kuna wakazi tumekatiwa umeme maeneo ya mwenge hii ni siku ya sita...kisa kuna kigogo anataka kujenga hoteli na nguzo ipo kwenye eneo lake nyaya zimeachwa zimeninginia na hao tanesco waliokuja kukata walishuka kwenye hilo gari la huyo kigogo tunafanyaje hapo?na hiyo nguzo inasambaza karibia mtaa mzima ,,,so mtaa mzima hakuna umeme......eneo lenyewe lipo mwenge mkabala na magorofa ya jeshi kwenye transfoma....kila tukiwasiliana na tanesco wanakuja halafu wanaondoka bila kufanya kitu...tumesikia kuna mgogoro wa kubomolewa nyumba kuna mtu mwenye hela zake anataka njia ya kwenda nyumbani kwake lakin mahakama ilimzuia kwa hiyo anafanya hila kama hizo kukata umeme kwa kisingizio nguzo ipo eneo lake...jaman tufanye nini????kama kuna wenye namba ya chombo cha habari kinachoweza kupaza sauti yetu anipe niwatafute jaman
 
Back
Top Bottom