Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Hapa uwanjani sherehe zinaendelea lakini sherehe hazijafana sana na pia watu wananongona kukosekana kwa waziri mkuu pinda,rais mstaafu mkapa,mawaziri wakuu wastaafu na mke wa rais mama salma kikwete.....
Nimesikia wananchi walijiandaa na vuvuzela na kuwazomea Fisadi! Fisadi! Fisadi!.... Wapambe wao kwenye system wamewashtua ndio maana wamekacha sherehe(Mgombea Ubunge)
mkapa na lowasa hawawezi kukanyaga hapo hadi kiama cha wafu!
Nimesikia wananchi walijiandaa na vuvuzela na kuwazomea Fisadi! Fisadi! Fisadi!.... Wapambe wao kwenye system wamewashtua ndio maana wamekacha sherehe
Pinda nae ajaonekana mpaka sasa wakati ambapo rai anaondoka uwanjani-sherehe zimepoza sana,sijui kwa nini?pamajoa na kauli mbiu ya tulilinde amani kwa maendeleo yetu-lakini wapi???????
msafara wa raisi unaondoka uwanjani sasa,then dr shein naindoka na mkewe mama mwema,aatfunafuatiwa na kufuatiwa na karume.
Hapa uwanjani sherehe zinaendelea lakini sherehe hazijafana sana na pia watu wananongona kukosekana kwa waziri mkuu pinda,rais mstaafu mkapa,mawaziri wakuu wastaafu na mke wa rais mama salma kikwete.....
vipi Karume kaonekana leo? maama kuna sherehe nyingi hapa katikati hajaonekana na alikuwa na visingizio kibao
au kwa sababu kesha malizana na Seif
Pinda yupo safarini Vienna kwenye mkutano wa UN
Pinda nae ajaonekana mpaka sasa wakati ambapo rai anaondoka uwanjani-sherehe zimepoza sana,sijui kwa nini?pamajoa na kauli mbiu ya tulilinde amani kwa maendeleo yetu-lakini wapi???????
msafara wa raisi unaondoka uwanjani sasa,then dr shein naindoka na mkewe mama mwema,aatfunafuatiwa na kufuatiwa na karume.
-C ya Matron? -Amegoma baada ya kutokuwa kwenye Emirates mzee alipotoka CUBA??na mama ....