Vigogo wawili wa Chadema John Heche na Godbless Lema Wafanya Kikao kizito kujadili mustakabali wa Chama Chao!

Vigogo wawili wa Chadema John Heche na Godbless Lema Wafanya Kikao kizito kujadili mustakabali wa Chama Chao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Vigogo wawili wa Chadema ambao ni wajumbe wa Kamati Kuu Mh Godbless Lema na John Heche wamefanya Kikao kizito kujadili mustakabali wa Chama Chao

Source Mwanahalisi Digital

Kumeanza kupambazuka 🐼
 
Hicho kikao wamekalia wapi kwa sababu inasemekana Lemma ameshatimkia zake Canada 🍁.
 
Vigogo wawili wa Chadema ambao ni wajumbe wa Kamati Kuu Mh Godbless Lema na John Heche wamefanya Kikao kizito kujadili mustakabali wa Chama Chao

Source Mwanahalisi Digital

Kumeanza kupambazuka 🐼
AKILI MCHUNDO
 
Kikao huwa kina mwenyekiti, katibu na wajumbe. Na lazima kuwe na muhtasari na agenda. Sio kila watu wanapokutana ni kikao.

Tupe ufafanuzi.
 
Godbless Lema pamoja na kwamba Freeman Mbowe ni ndugu yake, mchagga mwenzake toka huko juu Machame, lakini hawaivii pamoja na wanatofautiana kimitizamo pakubwa...

Huyu John Heche, Godbless Lema, Joseph Mbilinyi (Sugu) hakuna ubishi kuwa wanamuunga mkono Tundu Lissu...
 
Back
Top Bottom