johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anaudhi si kawaidaNawe umezidi kuleta habari nusu nusu kama jogoo vile
Anakunywa chimpumu.Anaudhi si kawaida
Source Mwanahalisi Digital πΌπNawe umezidi kuleta habari nusu nusu kama jogoo vile
Chimpumu ni kinywaji pendwa Cha Bilionea Sugu na Lucas Mwashambwa πAnakunywa chimpumu.
AKILI MCHUNDOVigogo wawili wa Chadema ambao ni wajumbe wa Kamati Kuu Mh Godbless Lema na John Heche wamefanya Kikao kizito kujadili mustakabali wa Chama Chao
Source Mwanahalisi Digital
Kumeanza kupambazuka πΌ