Vigoma vya kizaromo/uswahilini vipigwe marufuku

Kijana LOGICS

Senior Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
140
Reaction score
536
Shuhuli /vigoma vya jamii za kiswahili pwani, Tanga, Mtwara, na Lindi vipigwe marufuku.

Ni kama wanawake WA mikoa tajwa wanaona sifa kuvaa Madera, vijora na kukata mauno hadharani. Wengine wakiwa ni wamama Watu wazima.

Tanzania ya Leo tunahitaj wamama Bora kwa ajili ya future generations.

Kama wamama ndo hawa WA uswahilini ni janga.

Kumshape mtoto aje kuwa thé best doctors, engeneer, lawyers, pilot,n.k kunahitaj uwepo WA mama anaefanya vitu vinavyomake Sense.

Unakua na mwanamke NDANI kajaza vijora, kila week ni shughul/ vigoma simu yake imejaa twerking video utegemee utapata mtoto smart kichwani.

Waswahili WAKE UP
 
Mbona Dar hujaitaja, halafu waachie mambo yao mkuu si wanaitwa mishangazi
 
Umewafuata kwao au wamekuja kucheza huko kwenu usweken?
Rudi kwenu Kama utawaona, vinginevyo nyamaza
 

Umewafuata kwao au wamekuja kucheza huko kwenu usweken?
Rudi kwenu Kama utawaona, vinginevyo nyamaza
Umewafuata kwao au wamekuja kucheza huko kwenu usweken?
Rudi kwenu Kama utawaona, vinginevyo nya

Umewafuata kwao au wamekuja kucheza huko kwenu usweken?
Rudi kwenu Kama utawaona, vinginevyo nyamaza
Impacts YAKE ni Hasi kwa nchi nzima
 
Shuhuli /vigoma vya jamii za kiswahili pwani, Tanga, Mtwara, na Lindi vipigwe marufuku.

Ni kama wanawake WA mikoa tajwa wanaona sifa kuvaa Madera, vijora na kukata mauno hadharani. Wengine wakiwa ni wamama Watu wazima...
Ule ni utamaduni wao unaanzia wapi kuupiga marufuku
 
Mkuu I feel your sentiments, tatizo hapa hata serikali yenyewe haitaki wananchi wake wasome kwani wanaamini sote tukisoma itakuwa vigumu kwao kuiba pato la taifa na ndiyo maana wanahimiza sana viongozi wa dini waendelee kuwatia ujinga wananchi kwa kusali na kuamini mitume wasio wetu. Mwananchi ukilalamika unaambiwa nenda msikitini au kanisani kusali, mwishowe tunazidi kujijengea taifa la kijinga lenye kuamini imani potofu (zisizo zetu) huku wananchi wake wakiwa illiterate na masikini wa kutupwa wakati tuna kila kitu hapa nchini. Magufuli was right kusema hii nchi inaliwa na watu wachache serikalini na washikaji wao.
 
Mkuu umesahau kuweka ako kavideo ulikonako
Nakukumbusha tuuh lakini
 
Kweli mkuu MANYANZA mtu anajiita kijana anakosaje smartphone yakutolea ushahidi
Kinyume na hapo ni mzushi tuuh huyu member KIJANA
 
Mtuache nyie wa kuja hizi ndo Mila zetu zipo na zitaendelea kuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…