Vipo kuna koo flani walimzika ndugu yao maneno yakazuka kuwa wamemtoa kafara,ikapita siku chache akawa anawajia ucku kuwanyonga akikukosa kwa bahati mbaya anakurudia ,
Amewauwa kama ndugu watano ndio wakaanza kwenda kwa waganga wa Kienyeji kutafuta suluhisho,wameenda kaburini kaburi linashimo upande wakaambiwa hayupo alitokea penye shimo .
Kazi ya mgonga ikaanza kuchoma Dawa kumfukua na kuzika upya ikabaki story mjini.
Maswali sitaki kwani mm siyo ndugu wa Marehemu ss tuliona mchakato na kushuhudia baadhi ya mambo