Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Kipindi Yanga tulipokuwa chini ya Simba kimatokeo basi tulikazania sana suala llaUBINGWA WA KIHISTORIA
Sasa hivi SIMBA wako chini ya YANGA kimatokeo nao sasa wamekazania sana RANK ZA CAF, IFFH, nk.
kila siku zinaanzishwa nyuzi za kuonesha kuwa SIMBA ni ya 10 africa, mara ya 6 africa, mara ya 7 africa nk.
Haya ndiyo maisha tyetu watani wa jadi unapokuwa vibaya unatafuta promo ya staili nyingine