Vihoja vya mabingwa wa kihistoria na rank za CAF

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Kipindi Yanga tulipokuwa chini ya Simba kimatokeo basi tulikazania sana suala llaUBINGWA WA KIHISTORIA

Sasa hivi SIMBA wako chini ya YANGA kimatokeo nao sasa wamekazania sana RANK ZA CAF, IFFH, nk.

kila siku zinaanzishwa nyuzi za kuonesha kuwa SIMBA ni ya 10 africa, mara ya 6 africa, mara ya 7 africa nk.

Haya ndiyo maisha tyetu watani wa jadi unapokuwa vibaya unatafuta promo ya staili nyingine
 
hivi wewe unajielewa kweli. Kwani Bingwa ni nani?
 
Unazikubali takwimu au unabishana nazo.

Umakumbushwa tu kuwa simba ni ya viwango gani.

Bahati nzuri wanaotoa hizi rank/takwimu Wana tovuti Ni vizur ukazama humo kujiridhisha.

Pia, Kuna watasema Simba ni ya 8 kulingana na wao walivyochakata takwimu zao, Kuna mashirika mengine yatasema ni ya 10au ya 13 si dhambi.

Yanga hata 100 haipo.katimu flani kadogo sana Afrika kenye umri mkubwa ivi.

SIMBA nguvu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…