Vihoja wanavyofanya mwaka wa kwanza pindi wanapoingia chuoni kwa mara ya kwanza

Utakua unamjua Mama Quantity pale Sua getini
 
Mkuu hawa walikuwa special program chini ya udhamini wa Benki ya dunia nadhani, walikuwa wametoka familia maskini za vijijini. Na program yao ilikuwa mahususi kwa ajili ya ualimu wa haraka. Ila serikali na uongozi wa UDOM ulichowafanya, kuna watu kama kweli kuna Jehanam basi lazima wapite. hawa watoto walichofanyiwa basi tu.
 
Ndo mana ajira hazitolewi kumbe kwa sabab ya huu ulimbuken.. What's funny mtu kuja na tranka kwa ajili ya kuhifadhia vitu vyake..

Hawa ni watoto wa wakulima na huwa Mara nyingi wanamalizaga chuo na GPA safi.. Achana na Hawa wakifikaga chuo wanajikuta ma models kumbe amna kitu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hyo namba4 itakuwa siku ya mikojo chuoni maan kwa nyomi la wanafunzi waaanze kupimana kila jumatat aahahhhahaha Mikojo day hyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hyo namba4 itakuwa siku ya mikojo chuoni maan kwa nyomi la wanafunzi waaanze kupimana kila jumatat aahahhhahaha Mikojo day hyo
Breath test mkuu
 
Na ww ulikuwa mwaka wa kwanza ukumbuke[emoji276]
 
Hao ni form one bana!! siyo first year wa chuo!!! hao wa chuo tayari wamesha kuwa wajanja mnoo! kutokea sec. labda km ni wale wa sec. za day ni mamburula hayajuagi kitu yale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…