Viingilio fainali ya Ngao ya Jamii

Viingilio fainali ya Ngao ya Jamii

Roboti Wa Nape

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2023
Posts
1,174
Reaction score
2,876
... 💰💸

Viingilio fainali ya Ngao ya jamii :

◉ 30,000 ›› VIP (A)
◉ 10,000 ›› VIP (B)
◉ 10,000 ›› VIP (C)

◉ Mzunguko ›› 5,000.

ℹ️ Mechi itachezwa Jumapili baina ya timu mbili kubwa zilizoko katika mashindano makubwa barani Africa CAFCL Azam FC dhidi ya Yanga SC.

Kumbuka ukilipia kiingilio chako unatazama na mechi ya vibonde wa shirikisho bule kama trela.

1723267320197.jpg
 
View attachment 3065808
Hiyo mechi ya vibonde ndiyo kama free kifungashio siyo!
 
... 💰💸

Viingilio fainali ya Ngao ya jamii :

◉ 30,000 ›› VIP (A)
◉ 10,000 ›› VIP (B)
◉ 10,000 ›› VIP (C)

◉ Mzunguko ›› 5,000.

ℹ️ Mechi itachezwa Jumapili baina ya timu mbili kubwa zilizoko katika mashindano makubwa barani Africa CAFCL Azam FC dhidi ya Yanga SC.

Kumbuka ukilipia kiingilio chako unatazama na mechi ya vibonde wa shirikisho bule kama trela.
View attachment 3065808
We ni mpumbavu kweli kwenye mpira kuna trela ? Alaf acha kushusha hadhi ya shirikisho tusipoyapa thaman mashindano mengine ligi yetu haitokua imara daima
 
Taarifa muhimu na hapa tff wamecheza kwa akili angalau kidogo kuweka team za shirikisho kama kifungashio (pre match games)
 
Mechi. Ni saa ngapi au muda ule ule wa saa Moja kamili
 
We ni mpumbavu kweli kwenye mpira kuna trela ? Alaf acha kushusha hadhi ya shirikisho tusipoyapa thaman mashindano mengine ligi yetu haitokua imara daima
Leo hii ndio mnawaza kuipa thamani kwavile Simba wanashiriki, ila kipindi Yanga anashiriki mliyaponda kuwa ni mashindano ya vibonde.
 
... 💰💸

Viingilio fainali ya Ngao ya jamii :

◉ 30,000 ›› VIP (A)
◉ 10,000 ›› VIP (B)
◉ 10,000 ›› VIP (C)

◉ Mzunguko ›› 5,000.

ℹ️ Mechi itachezwa Jumapili baina ya timu mbili kubwa zilizoko katika mashindano makubwa barani Africa CAFCL Azam FC dhidi ya Yanga SC.

Kumbuka ukilipia kiingilio chako unatazama na mechi ya vibonde wa shirikisho bule kama trela.
View attachment 3065808
Nyongeza kwa losers cup kama karanga za kuonja.
 
Back
Top Bottom