Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Hiyo mechi ya vibonde ndiyo kama free kifungashio siyo!... 💰💸
Viingilio fainali ya Ngao ya jamii :
◉ 30,000 ›› VIP (A)
◉ 10,000 ›› VIP (B)
◉ 10,000 ›› VIP (C)
◉ Mzunguko ›› 5,000.
ℹ️ Mechi itachezwa Jumapili baina ya timu mbili kubwa zilizoko katika mashindano makubwa barani Africa CAFCL Azam FC dhidi ya Yanga SC.
Kumbuka ukilipia kiingilio chako unatazama na mechi ya vibonde wa shirikisho bule kama trela.
View attachment 3065808
Ndio trela hiyo mkuu.Hiyo mechi ya vibonde ndiyo kama free kifungashio siyo!
We ni mpumbavu kweli kwenye mpira kuna trela ? Alaf acha kushusha hadhi ya shirikisho tusipoyapa thaman mashindano mengine ligi yetu haitokua imara daima... 💰💸
Viingilio fainali ya Ngao ya jamii :
◉ 30,000 ›› VIP (A)
◉ 10,000 ›› VIP (B)
◉ 10,000 ›› VIP (C)
◉ Mzunguko ›› 5,000.
ℹ️ Mechi itachezwa Jumapili baina ya timu mbili kubwa zilizoko katika mashindano makubwa barani Africa CAFCL Azam FC dhidi ya Yanga SC.
Kumbuka ukilipia kiingilio chako unatazama na mechi ya vibonde wa shirikisho bule kama trela.
View attachment 3065808
Leo hii ndio mnawaza kuipa thamani kwavile Simba wanashiriki, ila kipindi Yanga anashiriki mliyaponda kuwa ni mashindano ya vibonde.We ni mpumbavu kweli kwenye mpira kuna trela ? Alaf acha kushusha hadhi ya shirikisho tusipoyapa thaman mashindano mengine ligi yetu haitokua imara daima
Nyongeza kwa losers cup kama karanga za kuonja.... 💰💸
Viingilio fainali ya Ngao ya jamii :
◉ 30,000 ›› VIP (A)
◉ 10,000 ›› VIP (B)
◉ 10,000 ›› VIP (C)
◉ Mzunguko ›› 5,000.
ℹ️ Mechi itachezwa Jumapili baina ya timu mbili kubwa zilizoko katika mashindano makubwa barani Africa CAFCL Azam FC dhidi ya Yanga SC.
Kumbuka ukilipia kiingilio chako unatazama na mechi ya vibonde wa shirikisho bule kama trela.
View attachment 3065808
Leo ndo mnajua umuhimu wa shirikishoWe ni mpumbavu kweli kwenye mpira kuna trela ? Alaf acha kushusha hadhi ya shirikisho tusipoyapa thaman mashindano mengine ligi yetu haitokua imara daima
HahaaaaaaNyongeza kwa losers cup kama karanga za kuonja.