OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wana Simba sasa tambo za mitaani, mitandaoni, maofisi, kanisani, vitandani tunazihamishia kwa Mkapa.
Kiingilio ni sawa na bure kabisa. Tunaenda kupiga "Full House" kutoa onyo kwa timu zitakazokuja makundi.