OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View attachment 2382601
Wanasimba sasa tambo za mitaani,mitandaoni,maofisi, kanisani,vitandani tunazihamishia kwa Mkapa.
Kiingilio ni sawa na bure kabisa. Tunaenda kupiga Full House kutoa onyo kwa timu zitakazokuja makundi
Wanasema wanaweza kujitetea kwa AL HILAL na sio kwa Agosto ni hatari, bora wakafie nje watakuwa na cha kusingizia.TAIFA KUBWA.
Hivi lile ombi la Simba SC kwenda Sudan kurekebisha ile aibu taifa lililopata Jumamosi kwa Mkapa bado halijajibiwa na CAF?
3-0Hiv wale jamaa wanatakiwa kufunga ngapi ili wafuzu wao?
Tatu bila.Hiv wale jamaa wanatakiwa kufunga ngapi ili wafuzu wao?
da!!!!,maskini Utopwinyo mdomo umemponza.....uwezo hawana..Wanasema wanaweza kujitetea kwa AL HILAL na sio kwa Agosto ni hatari, bora wakafie nje watakuwa na cha kusingizia.