Wamepunguza bei ili wajaze uwanjaNimefatilia viingilio katika mechi ya ufunguzi wa African football league ambapo kiingilio Cha chini ni 7000 kwa kweli nimefurahishwa japo Mimi ni shabiki kamili wa Yanga ila kwa hili Simba mmeonesha kuwajali mno mashabiki na kuepuka tama...
20/10/2023Wanacheza lini?
Kwanini?Uwanja hautajaa utakuja unambie
20/10/2023
Ww ni wa kuambiwa kumbe. Subir wakwambie uwape.Uwanja hautajaa utakuja unambie
Uwanja hautajaa utakuja unambie
Ningepewa nafasi ya kupanga viingilio kule juu kijani ningeweka 5000 halafu bluu ningeweka tenNimefatilia viingilio katika mechi ya ufunguzi wa African football league ambapo kiingilio cha chini ni 7000 kwa kweli nimefurahishwa japo mimi ni shabiki kamili wa Yanga ila kwa hili Simba mmeonesha kuwajali mno mashabiki na kuepuka tamaa.
Shida itakuja Hilo nyomi lake kwa hiyo nadhani itakuwa vema uuzaji wa tiketi uwe wa umakini sana ili uwanja usije kuzidiwa uwezo.
Team nayo ijiandae kushinda ili kujenga taswira Bora ya nchi yetu kimataifa kwani asilimia kubwa ya wapenda soka watafatilia hili tukio.
Binafsi napenda nione mkienda top 4 ili Mamelody aje hapa.
Ifike time mjue mpira ni starehe na ni gharama , buku 5? hamuoni vitu vinapanda bei nyie mnazinyonya timu zenuNingepewa nafasi ya kupanga viingilio kule juu kijani ningeweka 5000 halafu bluu ningeweka ten
Hapo hapo wanataka timu isajili Top players.Ifike time mjue mpira ni starehe na ni gharama , buku 5? hamuoni vitu vinapanda bei nyie mnazinyonya timu zenu
Si ndio hapo sasaHapo hapo wanataka timu isajili Top players.
Utoto raha haswa pale anayejitofautisha na upimbi kuonekana pimbi kwa wenye upeo...[emoji1732][emoji125]UTOTO Raha sana