Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbumbu mnashida sana, wakati Yanga inacheza mechi za Kimataifa kuna mechi watu walikua wanaingia bure kabisa, tena mbaka mageti yanafungwa kwa maana uwanja unakua umeshajaa, Polisi walitumika kuwatawanya watu walio chelewa na kukuta mageti yamefungwa. Sasa ili Simba waweze kufikia hatua ya kuruhusu watu waingie bure kama Yanga walivyofanya ebu wafanye hivyo mechi zinazo fuata tujue simba inamilikiwa na tajir mwenye ukwasi.Kuliko kulipa viingilio kwenye mechi za Simba zisizowahusu mwisho wa siku Simba inashinda na inakuwa mmeisaidia kupata mapato makubwa ya viingilio si bora hizo hela mngeichangia timu yenu.
Tuingie bure kufanyaje?Mbumbu mnashida sana, wakati Yanga inacheza mechi za Kimataifa kuna mechi watu walikua wanaingia bure kabisa, tena mbaka mageti yanafungwa kwa maana uwanja unakua umeshajaa, Polisi walitumika kuwatawanya watu walio chelewa na kukuta mageti yamefungwa. Sasa ili Simba waweze kufikia hatua ya kuruhusu watu waingie bure kama Yanga walivyofanya ebu wafanye hivyo mechi zinazo fuata tujue simba inamilikiwa na tajir mwenye ukwasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umezoea bure!!Mbumbu mnashida sana, wakati Yanga inacheza mechi za Kimataifa kuna mechi watu walikua wanaingia bure kabisa, tena mbaka mageti yanafungwa kwa maana uwanja unakua umeshajaa, Polisi walitumika kuwatawanya watu walio chelewa na kukuta mageti yamefungwa. Sasa ili Simba waweze kufikia hatua ya kuruhusu watu waingie bure kama Yanga walivyofanya ebu wafanye hivyo mechi zinazo fuata tujue simba inamilikiwa na tajir mwenye ukwasi.
Sent using Jamii Forums mobile app