Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Wakuu, nimeshangaa kusikia viingilio vimewekwa kwa viwango vya juu kuliko hata mechi za ligi. Kiingilio cha chini ni 7,000/= na cha juu kabisa ni 40,000/=. Jukwaa B kwa mechi za Yanga hutozwa 10,000 - 15,000/= lakini kwa mechi hii ni 20,000/=. Wakati wadau wengine walipendekeza hata iwe bure kabisa, TFF wametazama maslahi zaidi kuliko uzalendo. Kwa hali hii bado tuna safari ndefu kwenye kuamsha hamasa.