Wakuu, nimeshangaa kusikia viingilio vimewekwa kwa viwango vya juu kuliko hata mechi za ligi. Kiingilio cha chini ni 7,000/= na cha juu kabisa ni 40,000/=. Jukwaa B kwa mechi za Yanga hutozwa 10,000 - 15,000/= lakini kwa mechi hii ni 20,000/=. Wakati wadau wengine walipendekeza hata iwe bure kabisa, TFF wametazama maslahi zaidi kuliko uzalendo. Kwa hali hii bado tuna safari ndefu kwenye kuamsha hamasa.
Haiwezi kuwa bure mkuu kwa tamko la TFF pekee...
Huo uwanja una gharama zake na mwenye nao ni serikali...
1. Ally Mustafa
2. S. Kapombe
3. H Mwinyi
4. Kelvin Y
5. Nadir H
6. Frank D / S. Ndemla
7. Mrisho N / Simon M
8. Mudathir Y / D Kaseke
9. John Bocco
10. Mbwana Samata
11. Thomas Ulimwengu
Watanzania wamepoteza imani kabisa na Taifa Stars