Vijana 20 wanahitajika haraka!

Vijana 20 wanahitajika haraka!

daddys dota

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
66
Reaction score
4
Wanahitajika vijana 20 wa kuuza nguo kwa kutembeza nguo za mitumba za wadada, wamama na watoto,kutafuta masoko mbalimbali mfano maofisini, vyuoni, mitaani n.k

Malipo ni kwa siku.

VIGEZO:


Awe mchapakazi na mcha mungu
Awe na wadhamini/mdhamini(wazazi au ndugu wa damu)
Awe na nidhamu ya kazi
Awe tayari kufuata maelekezo ya kikazi atakayoagizwa mfano kuwatumia wateja wa mikoani nguo pamoja na kuwapelekea wateja nguo mahali popote walipo hapa DAR ES SALAAM

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0659965555 AU 0766866683
 
Mshahara mtaelewana baada ya kujadili kazi, na ni kitu private. kama unahitaji kweli kazi na una sifa basi wasiliana na mleta post, na sio kujaza illogical questions hapa.
 
Wanahitajika vijana wachapakazi na waaminifu watakaoweza kuuza nguo kwa kutembeza, kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0659965555 au 0766866683.
 
Nasakadoo, fursa hiyo mwanangu... Usijesema hatukukuambia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom