Vijana acheni pombe, kwenye pombe ni fedheha

"....na wanakuuliza watoe nini?" Nukuu.

Naomba ufafanuzi happ
 
Wale wasioweza kunywa kistaarabu ndo dhahama kama hizi za mleta mada zinawakumba, vinginevyo pombe sawa na bangi vinaathiri watu kwa njia tofauti tofauti kulingana na level za ukichaa walizonazo......
Hakuna bingwa wa pombe.

Usidanganye watu. Jamaniee Kuna watu wamekunywa pombe lkn mwisho wao si mzuri niaminini mimi.

Wapo watu wamekunywa pombe za million 40 chupa Moja. Wapo waliokunywa mataputapu na kuinshia pabaya.

Sikuwahi kuona aliyepona labda aliye acha. Ukiacha ndio pona ponayako. Waliotayar kuacha acheni.


Nikisema ova jua nimemaliza
 
Mithali 31:5-6
Mpe kileo yeye alie karibu na kupotea, mpe divai yeye alie na uchungu nafsini, anywe akausahau umasikini wake na asiikumbuke tena tabu yake.

Watumishi wa Mungu tuseme Amen.
 
Mkuu pombe ni sehemu ya tamaduni za watu kwenye upande wa vyakula na vinywaji, kitu chochote ukizidisha kiwango hata kama ni ugali lazima kikuathiri tu.
 
Mkuu pombe ni sehemu ya tamaduni za watu kwenye upande wa vyakula na vinywaji, kitu chochote ukizidisha kiwango hata kama ni ugali lazima kikuathiri tu.
Hapo kwenye ugali
 
Wiki 2 zilizopita nilikuwa tungi, kuna dada akawa anatafuta hela kwenye ziwa lake akawa haioni. Nikasema nimsaidie kutafuta, nilipomshika nikampagawisha kiasi, akasema si bora nimnyonye kidogo! Nikamnyonya kweli kama dakika 1 Hivi.
Japo ilikuwa usiku nilijidhalilisha, kuna watu wananiheshimu waliniona na wakaambizana baadaye.
Siku ya pili wananambia hata wewe!

Sasa hivi nimerejea utaratibu wa awali, hakuna kunywea bia mtaani ni mbali tu.
 
Tayar ushauita.
"Unywaji pombe uliokithiri"

Chochote kile ukizidisha hata iwe soda au maji lazima madhara upate
 
Siku niliyoanguka na gari mtaloni nikiwa chakali ndio siku niliacha kupiga masanga
Ilinitokea hii last month gari matairi juu saa nane hiyo nilisinzia naendesha nikavunja taa na shockup sasa hivi nanywea nyumbani nikilewa siendeshi napanda pikipiki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nililewa nikaenda kuwatukana ofisini....kiki chotokea Mungu ndio anajua, pombe sio nzuri hata kidogo
 
Pombe
Bangi
Wanawake

Hizi ni starehe za Masikini wa fikra na wachafu wa kiroho na Mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…