Vijana chukueni mchongo wa soya

Waziri Bashe tunaomba utujibie katika haya
 
Watu walilimishwa mlonge wakatelekezwa



Petroleum Engineering wakaachwa solemba
Tatizo siasa huingizwa katika biashara na pale Iringa kuna mnara wameandika Siasa ni kilimo 🤪
 
Nipe h

Nipe hizo connection mkuu soya zinapatikana sana tu na hiyo mihogo pia
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%
Lakini bila shaka na kwa uhakika kwa Tanzania haiwezekani....kwanza hivyo vibali tu na leseni utapigwa zengwe mpaka ukate tamaa...siasa na roho mbaya.....
 
Nakubaliana na wewe kwa 100%
Lakini bila shaka na kwa uhakika kwa Tanzania haiwezekani....kwanza hivyo vibali tu na leseni utapigwa zengwe mpaka ukate tamaa...siasa na roho mbaya.....


Sasa hapo ndio umeanza kuongea mambo ya msingi. Tatizo sio vijana Wala uvivu kama ulivyoana kulaumu awali, Kuna urasimu mwingi sana na vipingamizi kadhaa Hadi ukamate soko na uweze kuhudumia.

Hapo naomba nikuulize, wewe umechukua hatua Gani katika huu mnyororo wote wa thamani kwenye hayo masoko?
 
Kabisa mkuu, nimeshawahi nasikia naibu waziri wa viwanda na biashara katika awamu ya nne anasema serikali ya Zanzibar inaagiza kuku kutoka nje ili kukidhi mahitaji ya wanzibar nikawaza inamaana wazanzibar hawawezi kufuga kuku? au basi Tanganyika imeshindikana kufuga kuku ili wenzetu waje wachukue? just imagine kuku tuu, ingekuwa uchimbaji wa madini tungesingizia technolojia
 
Sijaelewa Concept Yako hapa//
 
Huyo muongo
 
Kwa kweli mie nimechokoza mada kimtindo....lakini ki ukweli nilishakata tamaa kitambo sana.
 
Kwa kweli mie nimechokoza mada kimtindo....lakini ki ukweli nilishakata tamaa kitambo sana.

Kwanza, unajitambua na umekua mkweli.

Pili, usikate tamaa, jaribu kuchukua hatua zaidi kupata taarifa sahihi kuhusu hizi fursa za masoko. Wanataka mazao ya aina Gani, yaandaliwe Kwa viwango vipi, mambo Gani ya muhimu ya kuzingatia kama mbolea n.k pia vibali ni jukumu la nani? Sheria na taratibu za kuuza mazao nje ya nchi zimekaaje? Mikataba ya namba biashara itakavyoendeshwa itakuaje?

Kuanzia hapo unaweza kupata pa kuanzia. Shida hizi taarifa na harakati hua zinakuja kisiasa sana kiasi kwamba ukiingia Kwa mihemko unakula hasara nzuri tu.

Kwa nnavyowafaham wachina, hawashindwi kufanya magumashi wakashirikiana na watanzania wakaendesha kilimo wao kwa mgongo wa wazawa.
 
Nenda Handeni uwaulize kuhusu kulima mihogo wakati wa DC Godwe G watakujibu kuwa baada ya kulima mazao yalinunuliwa au vipi halafu ndio uje uongee hapa
Tannzania unaweza kukaa mahali ukafikiria sana ukaja na majibu yawezekana serikal inapenda wananchi waendelee kua maskini. Kwa sababu gani, hatujui labda waendelee kutawala milele na milele na mtu maskini ni rahis kumtawala..
 
Huwa tukiwambia kilimo kina lipa wanatuona kama katuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…