Vijana chukueni mchongo wa soya

Mkuu, ukipata mtendaji(sio wa ofisini) kwenye sekta ya korosho akusimulie hii maneno utachoka maana ni ukweli mchungu. Hakuna juhudi za makusudi kuboresha sekta, siasa nyingi.
 
Nadhani izo tani niza korosho zilizo banguliwa,
Muulize vzr uyoo jamaa
 
Binafsi niko kwenye sector ya Mifugo, na nashuhudia wafugaji wengi wakiagiza soya. kutoka zambia, Nawaza sisi watanzania tunakwama wapi? Au climate inagoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…