LUZYOKELEZI THE 2
Member
- May 20, 2020
- 56
- 98
Wakuu bila shaka siku inaenda kadri mwenyezi Mungu anavyojalia.
Nisiwachoshe Kwa maneno mengi, naomba niende moja Kwa moja kwenye mada.
Binafsi nimetokea kuvutiwa Kimuziki na hili kundi la Vijana wawili "THE FiVa" ambalo nimekuwa nikilifuatilia toka mwanzo.
Ni Vijana wawili ambao wameungana na kutengeneza kundi Hilo "THE FiVa" Kwa ajili ya kujitafuta katika muziki wa kizazi kipya - BONGO FLAVA.
Hakika wanaimba vizuri na wakiendelea hivi watafika mbali katika muziki kwani vipaji wanavyp na wanafanya vizuri.
Kwa haraka haraka ukisikiliza nyimbo zao raiti kama wangekuwa na support ya kuimba nyimbo hizo na wasanii wakubwa tungekuwa tushawajua na kuwasikia masikioni mwetu mara kadhaa.
Nichukue fursa hii kuwaomba WADAU wa muziki wa kizazi kipya tuwashike mkono hawa Vijana hasa katika PROMOTION na MANAGEMENT kwani muziki siku hizi ni ajira.
Kwa yeyote yule ambaye atakuwa interested anaweza kuja PM Kwa ajili ya hatua zingine zaidi.
Hapa chini [emoji116][emoji116] nimeweka baadhi ya NYIMBO zao, pia nyimbo hizo zinapatikana YouTube
"THE FiVa"
View attachment 3060761View attachment 3060767View attachment 3060768